Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: TRA yafikia zaidi ya asilimia 100 Ukusanyaji mapato robo ya Mwaka mkoani Manyara
Share
Notification Show More
Latest News
Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
January 31, 2023
Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg
January 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > TRA yafikia zaidi ya asilimia 100 Ukusanyaji mapato robo ya Mwaka mkoani Manyara
Top Stories

TRA yafikia zaidi ya asilimia 100 Ukusanyaji mapato robo ya Mwaka mkoani Manyara

November 21, 2022
Share
1 Min Read
SHARE
Mamlaka ya mapato nchini(TRA) Mkoa wa Manyara imefikia  asilimia 125 ya ukusanyaji wa mapato kwa robo ya kwanza ya mwaka huku ikiwataka wafanyabishara wenye mauzo ya shilingi milioni 11 kwa mwaka kutumia mashine za kieletroniki kutoa risiti.
Akizungumza katika maadhimisho ya wiki ya mlipa kodi Meneja wa TRA Mkoa wa  Manyara Pendolake Msangi amesema  mafanikio hayo ni kutokana na elimu inayoendelea kutolewa na mamlaka huku akiwatama watoa huduma kutoa risiti wanapouza bidhaa ili kuepuka adhabu pindi watakapo bainika kutoa tumia risiti hizo.
Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Babati Lazaro Twange ambae ni Mwenyekiti ya ushauri ya Kodi wilaya ya Babati amesema shughuli ya kulipa kodi na utozaji wa Kodi inahitaji kushirikiana  ambapo Serikali itaendelea kutoa elimu ya mlipa kodi ili kuendelea kulipa Kodi kwa hiari,huku watakaobainika kutotoa risiti za EFD kuchukuliwa hatua.

You Might Also Like

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

Edwin TZA November 21, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kesi ya Greenwood hukumu November 27 2023
Next Article Rais Samia kuzindua Ghala la Chakula mkoani Manyara
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Jorginho aondoka Chelsea na kusaini Arsenal
Sports February 1, 2023
Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain
Top Stories January 31, 2023
Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza
Top Stories January 31, 2023
Waliokutwa na meno ya tembo wahukumiwa miaka 20 jela (+video)
Top Stories January 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rais Samia ashtukia mchezo mchafu hela za Plea Bargain

January 31, 2023
Top Stories

Rais Samia ainyooshea kidole Polisi, Magereza

January 31, 2023
Top Stories

Maji ya ajabu yanayotoka bombani Johannesburg

January 31, 2023
Top Stories

Biden akataa kutuma ndege za kivita Ukraine

January 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?