Ad

Top Stories

VIDEO: Yakufahamu kutoka TRA kama utashinda ktk michezo ya kubahatisha

on

Baada ya TRA kukabidhiwa jukumu la kukusanya kodi kwenye michezo ya kubahatisha kuanzia July mwaka huu, leo September 13 2017 kupitia kwa mkurugenzi wa elimu kwa mlipa kodi, Richard Kayombo amesema washindi wa michezo ya kubahatisha wafahamu kuwa mshindi katika bahati nasibu atakatwa asilimia 18 ya kiasi alichoshinda na kuwasilishwa TRA na mchezeshaji wa bahati nasibu hiyo.

Aidha ameeleza kuwa  upande wa wachezeshaji wanatakiwa kuwasilisha asilimia ya mapato yao kama kodi kwa viwango vifuatavyo, Casino 15%, Sports betting 6%, SMS lotter 30%, National lottery 10% na Slot mashines ni 32,000 kwa kila mashine. Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama hii video.

Ulikosa hii ya TCRA yakutana na vyombo vya habari vya mtandaoni, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments