Habari za Mastaa

Top 10 ya Rnb ya Trace TV December 17,2015….(+Video)

on

Najua kuna watu walikuwa na hamu ya kufahamu video zinazofanya vizuri duniani na zilizofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa.

kwa mara nyingine tunajiunga na kituo cha TV cha kimataifa cha Trace Urban cha Ufaransa leo December 17, 2015 kuangalia hii top 10  yao ya Rnb  kupitia kituo hicho.

10.Tinashe – Party Favors

9.August Alsina – Why I Do it ft Lil Wayne

8.Monica – Just right for me ft Lil wayne

7.Chris Brown – Liquor

6.The Weeknd – In the Night

5.Alessia Cara – Here

4.Post Malone – White Iverson

3.Bryson Tiller – Don’t

2.Tory Lanez – Say it

1.Drake –Hotline Bling

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAMTWITTERFBYOUTUBE.

Tupia Comments