Videos

Top 30 ya Trace Tv, Vanessa Mdee bado anakimbiza 10 za juu kawaacha Justin Bieber, Davido..(+Videos)

on

Dec 12 ukamilisho ya hesabu ya Top 30 za Urban Hit kutokea kituo cha kimataifa Trace Tv cha nchini Ufaransa, ambapo katika hizo nimekukusanyia Hit songs 10 za juu zilizokamata chati kwa wiki hii ambapo Mtanzania Vanessa Mdee kakamata nafasi ya 4.

10.JUSTIN BIEBER – SORRY

9.JJC FT OLAMIDE – MOTIWA

8.TORY LANEZ – SAY IT

7.FUTURE-WHERE YA AT ft DRAKE

6.TRAVIS SCOTT – ANTIDOTE

5.DAVIDO ft OLAMIDE-THE MONEY

4.VANESSA MDEE – NEVER EVER

3.DRAKE – HOTLINE BLING

2.PHYNO – CONNECT

1.ADELE – HELLO

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na MillardAyo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments