Habari za Mastaa

Top 10 ya Hip Hop Trace TV July 13,2015

on

.

.

Najua kuna watu walikuwa na hamu ya kufahamu video za Hip Hop zinazofanya vizuri duniani na iliyofanikiwa kuchukua nafasi kwenye countdown za nchi kubwa.

kwa mara nyingine tunajiunga na kituo cha TV cha kimataifa cha Trace Urban cha Ufaransa kuangalia hii top 10 yao ya nyimbo kali za Hip Hop wiki hii.

10.Rae Sremmurd – This could be us (new)

9.Dj Khaled – How many times ft Chris Brown, Lil wayne Big Sean (New)

8.Future – F*ck Up some commas

7.Kid Ink – Be Real ft Dej Loaf

6.J Cole – Wet Dreamz

5.Silento – Watch Me (new)

4.Jidenna – Classic man ft Roman GianArthur

3.Wiz Khalifa – See you again ft Charlie Puth 

2.Wale ft Usher – Matrimony

1.Rich Homie – Flex

Unahitaji chochote ninachokipata kisikupite? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments