Mix

Traffic Dar wamezikusanya hizi BILIONI kati ya April 25 mpaka May 16

on

Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar es salaam kupitia kikosi chake cha usalama barabarani kimekusanya kiasi cha shilingi Bilioni 1.3 kutokana na ukamataji wa makosa ya usalama Barabarani kwa kipindi cha kuanzia April 25 2016 hadi May 16 2016.

Kamishna wa polisi kanda maalum Dar es salaam amezungumza haya mbele ya waandishi wa habari…….>>> ‘hatukusanyi yale mapato ili tupate fedha nyingi hapana, tunafanya vile kwa sababu watu watii sheria bila shuruti’

HIZO BILIONI 1.3 ZIMETOKANA NA HII LIST HAPA CHINI

  1. IDADI YA MAGARI YALIYOKAMATWA    –27,971
  2. IDADI YA PIKIPIKI ZILIZOKAMATWA     –9,983
  3. DALADALA ZILIZOKAMATWA                 –8,745
  4. MAGARI MENGINE (BINAFSI NA MALORI)    –16,826
  5. JUMLA YA MAKOSA YALIYOKAMATWA    36,267

ULIKOSA IDRISS SULTAN, DOGO PEPE, CAPTAIN KHALID NA COMEDIAN WENGINE WAKIVUNJA MBAVU ZA WATU? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments