Mix

TRAILER: Movie 6 utazikuta cinema Dar es Salaam Nov 22 ikiwemo ya TERMINATOR 6

on

Najua nina watu wangu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend na good news ni kwamba kama upo Dar es salaam Leo Novemba 22, 2019 kuna hizi movie utazikuta kwenye screen, tazama Trailers zake hapa chini ikiwemo hii mpya iitwayo Terminator 6 Dark Fate

TERMINATOR 6 DARK FATE

Charlies’ Angels

FORD V FERRARI

THE GOOD LIAR

FROZEN 2

 

PAGALPANTI

ULIIKOSA HII BATULI NA MATILDA WAMEFUNGUKA, KUFUNGA NDOA NA MAHUSIANO YAO BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

 

Soma na hizi

Tupia Comments