Habari za Mastaa

TRAILER:Tazama Reality show ya mwigizaji Irene Uwoya itakayorushwa Clouds TV

on

NI Mwigizaji Irene Uwoya ambae usiku wa Agosti 20, 2020 alizindua rasmi Reality Show yake ambayo inatarajiwa kuoneshwa kupitia Clouds TV, sasa hapa Ayo TV tumekusogezea ujionee trailer ya Reality show hiyo mpya.

JUMA LOKOLE “IRENE UWOYA ASIOLEWE, MACHAWA TUNAPATA TABU, BORA ALIVYOACHIKA”

Soma na hizi

Tupia Comments