Videos

Video 3 za bongo zilizopata airtime Trace TV , August 27 2016

on

Nifahari kubwa kuona midundo ya nyumbani kupata airtime katika vituo vikubwa vya TV za kimataifa kama Trace TV leo August 27 2016 wasanii walioingia kwenye list hii ni Diamond Platnumz,Nedy Music na Alikiba.

Mtu wangu nakusogezea video hizi na wewe ujionee, pia usisahau kuniachia comment yako hapa chini.

IMG_20160827_214854

IMG_20160827_214834

IMG_20160827_214757

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA HAFSA KAZINJA KUINGIA KWENYE UIMBAJI WA DINI NA MENGINEO?UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments