Habari za Mastaa

Top 5 ya Urban Hit10 waafrika wawili tu

on

Ni kazi yangu Kila siku kukuunganisha na  TRACE URBAN ambayo imesambaa kwenye huduma ya kulipia kwenye mataifa mengi Afrika ikiwa ni TV ya burudani yenye mashabiki na inayoaminika kwa kucheza video zenye ubora.  

Leo Nov 18 2016, Urban Hit 10 katika top 5 za juu ina waafrika wawili kutokea Nigeria kwenye nafasi ya nne wameishikilia TjanYcee kwenye ngoma yao ‘Meji’ pamoja na Mr Spinall na Mr Eaz na mdundo wao ‘Ohema’ kwenye nafasi ya 2.

Nimekusogezea hapa chini list hiyo unaweza kuitazama..

whatsapp-image-2016-11-18-at-21-02-40-1

whatsapp-image-2016-11-18-at-21-02-44

whatsapp-image-2016-11-18-at-21-02-46

whatsapp-image-2016-11-18-at-21-02-50

whatsapp-image-2016-11-18-at-21-02-42-1

VIDEO: Maneno ya mama Diamond Platnumz kuhusu nyumba yake aliyojengewa na Diamond, unaweza kuitazama nimekuwekea hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments