Habari za Mastaa

VIDEO: Top 10 ya Urban hit 30 waafrika wamezishikilia nafasi 6

on

Kwa wapenzi wangu wa burudani huwa nahakikisha siku zote hupitwi na chochote na kama ulimiss kuitazama countdown ya Urban hit 30 kutoka Trace TV basi nimekuwekea 10 kali kwenye list hiyo ya midundo 30 bora ya TraceTV ikiwa nyimbo sita zimeshikiliwa na wasanii kutoka Africa tu na 4 tu za mamtoni..

Nimekuwekea Top 10 hiyo hapa chini unaweza kuitazama.

20161203_135908

20161203_135842

20161203_135945

20161203_140008

20161203_140036

20161203_140058

20161203_140131

20161203_140214

20161203_140238

20161203_135539

VIDEO : Christian Bella katuonesha muonekano wa studio yake mpya

Soma na hizi

Tupia Comments