Habari za Mastaa

VIDEO: Tano za Urban hit 10 ya Trace TV waafrika watatu

on

Kwa wadau wangu ambao ni wapenzi wa burudani, huwa nahakikisha haupitwi na chochote na leo nakusogezea top five ya countdown ya Urban hit 10 ya kituo kikubwa cha burudani Trace Tv, na kama uliimiss countdown hii basi jionee list hii ya 5 za juu hapa chini ikiwa na waafrika 3 ndani.

20161028_205352

20161028_205326

20161028_205255

20161028_205653

20161028_205627

ULIMISS KUITAZAMA HII YA NEY WA MITEGO KUHUSU EX WAKE SHAMSA FORD KUOLEWA? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments