Habari za Mastaa

Video 5 za juu kwenye chati ya RNB Trace TV ziko hapa….

on

Trace TV ya Ufaransa ni kituo kingine cha TV kinachoonekana Afrika kupitia huduma ya kulipia kikiwa na nafasi yake kwenye upande wa burudani hususani  muziki wa kizazi cha sasa, leo December 22, 2015 kilitoa list ya video za nyimbo bora za RNB ambazo kwenye hii countdown zipo 5.

5.Alessia Cara- Here

4.Post Malone – White Iverson

3.Bryson Tiller – Don’t

2.Tory Lanez – Say it

1.DrakeHotline Bling

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments