Habari za Mastaa

Trace imezitaja Video mbili za kitanzania kwenye Urban Hit 10

on

Mtu wangu   July 27 2016  Trace TV kupitia chat za Urban hit 10 wamezitaja video mbili tu kutoka Tanzania kwenye chat za urban hit 10, taarifa hii ikufikie kuwa  Alikiba  pamoja  na Mayunga ndio wasanii pekee kutoka Tanzania waliopo kwenye chat hizo za urban hit 10.

Usisahau pia kuniachia comment yako hapa kuhusiana Urban hit ya Trace TV

20160727_181951

20160727_182024

20160727_182424

20160727_182801

20160727_183138

20160727_183957

20160727_184323

20160727_184712

20160727_185054

20160727_185530ULIKOSA KUIONA VIDEO YA BASATA KUMFUNGIA RASMI NAY WA MITEGO KUTOFANYA BONGO FLEVA? ICHEKI VIDEO NIMEKUEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments