Habari za Mastaa

Top 10: Trace TV wamezitaja video mbili kutoka East Africa kwenye Urban Hit 10

on

Ni kazi yangu kukusogeze hit zote ambazo zinafanya vizuri kwenye vituo vikubwa vya TV Africa June 17 2016, Trace TV wamezitaja video mbili tukutoka East Africa ambazo zimeingia kwenye Top 10 ya Urban Hit 10, pia usisahau kuniachia comment yako kwenye list ya hii midundo kumi ilitajwa na Trace TV kwenye Urban Hits 10.

Vanessa Mdee kutoka  Tanzania na Sauti Sol kutoka Kenya ndio wanaiwakisha East Africa kwenye chat hizo za Urban Hit kupitia Trace TV, nakusogezea list hapa chini.

IMG-20160617-WA0033

IMG-20160617-WA0036

IMG-20160617-WA0042

IMG-20160617-WA0038

IMG-20160617-WA0041

IMG-20160617-WA0035

IMG-20160617-WA0037

20160617_235755 (1)

IMG-20160617-WA0034

IMG-20160617-WA0039

ULIMISS HAYA MANENO YA NUH MZIWANDA KWA SHILOLE BAADA YA VIDEO YA JIKE SHUPA ITAZAME HAPA HII VIDEO…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments