Premier Bet SwahiliFlix Ad Vodacom Ad

Top Stories

RTO afika kwenye traffic light ya kwanza Kigoma, atoa maagizo

on

Baada ya taa za kuongozea magari na watembea kwa miguu kuanza kufanya kazi Mkoani Kigoma Wananchi pamoja na Madereva waliweza kuzungumza juu ya kuomba kupatiwa elimu ya kutosha kuhusiana na matumizi ya taa hizo.

RTO wa Mkoa wa Kigoma ASP. Malege Kilakala amefika eneo zilipo taa hizo na kuongea na baadhi ya Madereva huku akiahidi kuweka Askari katika eneo hilo ambao watakuwa wanaongoza magari.

MAAGIZO YA RAIS MAGUFULI KWA WAGONJWA NJE YA NCHI

Soma na hizi

Tupia Comments