Top Stories

Treni ya umeme kuanza kazi December, Waziri aweka wazi Covid inavyotaka kwamisha (+video)

on

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Dr.Leornad Chamuriho amezindua Bodi ya Pili itakayoshughulika na usimamizi wa Shirika la Reli Tanzania TRC, huku akisema huduma ya reli ya kisasa SGR itaanza Disemba mwaka huu.

Mbali na hilo pia amezungumzia changamoto ya COVID-19 ilivyoathiri shughuli za ujenzi wa reli ya SGR.

Soma na hizi

Tupia Comments