Habari za Mastaa

Trevor Noah yupo tayari kurithi kiti cha ‘The Daily Show’. (Video).

on

trevor4

Mchekeshaji kutoka South Africa Trevor Noah aliweka headlines kubwa sana Africa na dunia nzima miezi michache iliyopita baada ya yeye kutangazwa kuwa mtangazaji mpya wa kipidi cha comedy kiitwacho The Daily Show nchini Marekani.

trevor6

Good news kwako mtu wangu wa nguvu, imetangazwa rasmi kuwa kipindi hicho kitaruka duniani kote tarehe 28 September mwaka huu kwenye channel ya Comedy Central na kipande cha kwanza cha video kinacho mtambulisha mchekeshaji huyo kwenye kipindi hiko kimeachiwa!  

trevor7

Nimekusogezea kipande hicho cha video hapa chini mtu wangu wakati tunaendelea kusubiri na kuhesabu tarehe kufikia 28 September mwaka huu.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments