Baada ya kuisogeza kwetu mixtape yake mpya ‘To Whom It May Concern’ December 2015, staa wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Trey Songz anaisogeza kwetu official music video ya ‘Blessed’ moja ya ngoma zinazopatikana kwenye mixtape hiyo ya December 2015.
Kwa sasa Trey Songz yupo studio akiwa anakamilisha muendelezo wa album yake ya mwaka 2014; Trigga. Kama haijakufikia feel free kuicheki ‘Blessed’ kwenye dakika zake 4 hapa chini.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE