Habari za Mastaa

Trey Songz kwenye headlines na hii ‘About You’…(Video)

on

treys

Mkali wa R&B Trey Songz amerudi kwenye headlines na ngoma yake mpya inayoitwa ‘About You’, inayopatikana katika albamu yake mpya ya TRIGGA Reloaded

Itazame hapa mtu wangu…

Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook naInstagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Tupia Comments