AyoTV

VIDEO:Msanii wa Nigeria katua DAR, kamtaja mwigizaji Elizabeth Michael

on

Ni msanii wa Nigeria Joeboy ambae leo Agosti 17, 2019 ametua Dar es Salaam kwaajili ya show yake itakayofanyika Velisa Mikocheni.

Staa huyo kwenye mazungumza na waandishi wa habari amesema alishangazwa kuona msanii mkubwa kutoka Tanzania mwigizaji Elizabeth Michael kukubali kazi zake.

Joeboy ameendelea kujibeba headlines Tanzania baada ya kuachia hit single iitwayo Baby, unaweza ukabonyeza play kuitazama

Soma na hizi

Tupia Comments