AyoTV

VIDEO: TFF baada ya kudaiwa kuchotwa mamilioni bila kufuata taratibu

on

Moja kati ya magazeti ya Tanzania Jumatatu ya May 8 2017 ziliandikwa taarifa za tuhuma kwa shirikisho la soka Tanzania TFF kuhusu kutolewa hela katika account ya shirikisho bila kufuata taratibu, huku ikidaiwa miongoni mwa waliopewa hizo pesa ni Rais wa TFF Jamal Malinzi.

Leo May 10 2017 afisa habari wa shirikisho la soka Tanzania TFF Alfred Lucas ameamua kuongelea madai kutoka shirikisho hilo Kumekuwa kuna taarifa ambazo zinaendelea katika vyombo vya habari hususani gazeti moja ambalo limedai kuwa kuna ufisadi ndani ya shirikisho madai hayo ambayo ni uongo na yanalenga kuwachafua viongozi wa juu wa TFF”

VIDEO: Alichoamua Rais wa Simba baada ya kupokwa point 3 na TFF vs Kagera

Soma na hizi

Tupia Comments