Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Trey Songz kaja na surprise mixtape, ‘To Whom It May Concern’ isikilize yote hapa! – (Audio).
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
March 26, 2023
Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”
March 26, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Trey Songz kaja na surprise mixtape, ‘To Whom It May Concern’ isikilize yote hapa! – (Audio).
Habari za Mastaa

Trey Songz kaja na surprise mixtape, ‘To Whom It May Concern’ isikilize yote hapa! – (Audio).

November 30, 2015
Share
2 Min Read
SHARE

Hii ni kwa warembo wangu wote ambao wengi wao najua wanampenda sana staa wa muziki wa R&B,Trey Songz…  Good news kwako mrembo wangu na wewe mtu wangu ambaye ni shabiki mkubwa wa Trigga Trey… Trey Songz amerudi kuichukua nafasi yake kwenye headlines za burudani na ujio wa Surprise Mixtape!

Baada ya Lil Wayne, ChrisBrown na Rick Ross kuzidondosha zao, Trey Songz ameamua awasurprise watu wake na zawadi ya mixtape mpya. Mixtape hiyo imepewa jina ‘To Whom It May Concern’ na ni mixtape yake ya pili baada ya Trigga Reloaded iliyotoka mwezi June mwaka huu.

trigga2

Mixtape mpya ya Trigga Trey imemshirikisha Dj Drama kwenye utengenezaji wake na imebeba ngoma 12 kali na ndani watu kama Dave East, Chisanity na J.R wanasikika huku production imesimamiwa na DJ Mustard, Rico Love na KE on the Track.

Hii ndio Tracklist nzima ya mixtape ya Trey Songs – To Whom It May Concern.

1. “Blessed” (prod. by Mano)
2. “Everybody Say” feat. MIKExANGEL and Dave East (prod. by Mano)
3. “Walls” feat. MIKExANGEL and Chisanity (prod. by KE on the track)
4. “Benihana” (prod. by Rico Love & D-Town)
5. “Crew” (prod. by Maui Black)
6. “Waffles & Eggs” (prod. by Cook Classic)
7. “Used To” feat. J.R. (prod. by DJ Chose)
8. “Stuck” (prod. by DJ Mustard)
9. “Never Enough” feat. MIKExANGEL (prod. by Saaj)
10. “#Christmas (Guess Who)” (prod. by Rico Love, Diego Ave, and M. Tariq)
11. “Pain Killers” (prod. by Sean Momberger)
12. “Prayers” feat. Chisanity & J.R. (prod. by Yonni)

Kuisikiliza moja kwa moja bonyeza play kwenye hii playlist hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

You Might Also Like

Sina Tatizo na yeye, mteule wa Rais hanuniwi” Steve Nyerere Kafunguka (+video)

Rihanna & Asap rocky waipanga ndoa yao ya siri , barbados hivi karibuni

MTOTO WA BECKHAM APOST SAA YA MIL 97, ANYWA POMBE NA BABA YAKE

MADONNA AWAJIBU MASHABIKI MUONEKANO WAKE MPYA BAADA YA UPASUAJI!

Exclusive: Dully Vanny kwa uchungu azungumzia video chafu aliyotajwa, amtaja diamond na mama yake

TAGGED: WimboMpya
Millard Ayo November 30, 2015
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Chris Brown ameileta ya kwanza kwenye video kutoka kwenye Album yake mpya, ‘Fine by me’ – (Video).
Next Article Matatu niliyoyapata kwenye hukumu ya Sheikh Ponda Morogoro leo…
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
Top Stories March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
Top Stories March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
Top Stories March 26, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM

March 26, 2023
Top Stories

Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’

March 26, 2023
Top Stories

Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”

March 26, 2023
Top Stories

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza limefanya misa Takaridu ya Kumuombea Hayati JPM

March 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?