AyoTV

VIDEO: Wizara ya ujenzi imeomba kutengewa Trilion 4.5 kama bajeti yake 2017/2018

on

Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano leo April 27, 2017 imewasilisha Bungeni mpango na makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2017/2018 ambapo wizara imeomba kutengewa shilingi za kitanzania zaidi ya Trilion 4.5 bajeti ambayo iliwasilishwa na Waziri mwenye dhamana hiyo Makame Mbarawa.

VIDEO: Ujenzi wa Flyover Tazara DSM unavyoendelea 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments