Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Trip.com Group kumlipa kila Mfanyakazi wake Tsh. Mil 16.6 kwa kila Mtoto atakayezliwa
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kurejelea kesi yake na tuhuma za ufisadi
December 4, 2023
Marekani imeingilia kinyume cha sheria bahari ya Kusini -China
December 4, 2023
Haaland anaweza kukabiliwa na hatua ya kinidhamu
December 4, 2023
Sitaki kuitazama Man United tena-Gary Neville
December 4, 2023
Newcastle wanapaswa kumsajili David De Gea ili kuziba pengo la Nick Pope
December 4, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Trip.com Group kumlipa kila Mfanyakazi wake Tsh. Mil 16.6 kwa kila Mtoto atakayezliwa
Top Stories

Trip.com Group kumlipa kila Mfanyakazi wake Tsh. Mil 16.6 kwa kila Mtoto atakayezliwa

June 30, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Kampuni ya Uwakala wa Usafiri Mtandaoni ya Trip.com Group imesema itaanza kumlipa kila Mfanyakazi wake Yuan 50,000 (Tsh. Mil 16.6) kwa kila Mtoto mmoja atakayempata kuanzia July 01,2023 hii ikiwa ni Kampuni ya kwanza binafsi kuonesha jitihada za kuunga mkono mapambano ya China kuongeza Watoto na kupunguza uwingi wa Wazee ambao sio Wazalishaji mali.

Kampuni hiyo yenye Watumiaji zaidi ya Mil 400 Duniani, imesema licha ya kumpa Mzazi Yuan 50000 mara tu akipata Mtoto, italipa pia Yuan 10000 (Mil 3.3) ya matunzo ya Mtoto kila mwaka kwa muda wa miaka mitano kwa kila Mfanyakazi wa Kampuni hiyo atakayepata Mtoto popote Duniani ambapo Kampuni inakadiria kutumia Yuan Bil 1 kwenye programu hiyo.

Kiongozi wa Kampuni hiyo James Liang amesema “Siku zote huwa nashauri Serikali iwape pesa Wazazi hususani wenye Watoto wengi ili kuwahamasisha Vijana kutimiza ndoto za kuwa na Watoto wengi”

China ambayo iliendesha sera ya kila Mzazi kuwa na Mtoto mmoja pekee kuanzia 1980- 2025 imeonywa na Wataalamu kuwa ‘Nchi Itazeeka kabla ya kutajirika’ kutokana na nguvu kazi ya Taifa (Vijana) kupungua na kuwa na Wazee wengi ambao wanahitaji kuhudumiwa zaidi ambapo kuanzia mwaka 2021 wamefungua milango na kuruhusu Watu kuzaliana hadi Watoto watatu ingawa bado Watu wamegoma kuzaliana wakihofia gharama za matunzo ya Watoto, ada, kipato duni n.k.

Kiwango cha kuzaliana China kimeshuka hadi vizazi 6.77 kati ya Watu 1000 kutoka 7.52 kati ya Watu 1000 mwaka 2021 ambapo Wataalamu wanasema 2% ya GPD ya China itategemea kuhamasisha Watu kuzaliana.

You Might Also Like

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kurejelea kesi yake na tuhuma za ufisadi

Marekani imeingilia kinyume cha sheria bahari ya Kusini -China

Haaland anaweza kukabiliwa na hatua ya kinidhamu

Sitaki kuitazama Man United tena-Gary Neville

Newcastle wanapaswa kumsajili David De Gea ili kuziba pengo la Nick Pope

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA June 30, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Wikiendi imeanza, muda wa kuweka tai pembeni, warembo hawa kuitikisha DAR ‘Elements Masaki’
Next Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 1, 2023
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kurejelea kesi yake na tuhuma za ufisadi
Top Stories December 4, 2023
Marekani imeingilia kinyume cha sheria bahari ya Kusini -China
Top Stories December 4, 2023
Haaland anaweza kukabiliwa na hatua ya kinidhamu
Sports December 4, 2023
Sitaki kuitazama Man United tena-Gary Neville
Sports December 4, 2023

You Might also Like

Top Stories

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kurejelea kesi yake na tuhuma za ufisadi

December 4, 2023
Top Stories

Marekani imeingilia kinyume cha sheria bahari ya Kusini -China

December 4, 2023
Sports

Haaland anaweza kukabiliwa na hatua ya kinidhamu

December 4, 2023
Sports

Newcastle wanapaswa kumsajili David De Gea ili kuziba pengo la Nick Pope

December 4, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?