Michezo

Trippier kukumbana na adhabu kisa betting

on

Beki wa Atletico Madrid Kieran Trippier atakumbana na adhabu ya kufungiwa kujihusisha na soka kwa kosa la kubainika kuwa alijihusisha na betting (ubashiri).

Trippier alifanya hivyo wakati wa uhamisho wake kutoka Tottenham kwenda Atletico Madrid July 2019 kwa kutoa taarifa za ndani kuhusu uhamisho wake.

FA ya England imemfungulia rasmi mashitaka baada ya kubaini hayo na sasa anaweza kujikuta akifungiwa licha ya kuwa nje ya England, kwani FA wanayo nafasi ya kupeleka FIFA taarifa hizo na akaendelea na adhabu.

Soma na hizi

Tupia Comments