Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mambo matano kwenye Taarifa ya kwanza ya TRL kuhusu Treni iliyoanguka Ruvu
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 26, 2023
March 26, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo
March 25, 2023
Gigy Money katuletea hii video mpya ‘ogopa’ itazame hapa
March 25, 2023
Picha: Polisi Jamii Cup yazinduliwa Mkoani Manyara
March 25, 2023
Mkurugenzi wa Asas afunguka, ‘Tunawafugaji Elfu 6500, Rungwe na Isanu Busokelo uzalishaji ni mkubwa’
March 25, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > Mambo matano kwenye Taarifa ya kwanza ya TRL kuhusu Treni iliyoanguka Ruvu
AyoTVBreakingNews

Mambo matano kwenye Taarifa ya kwanza ya TRL kuhusu Treni iliyoanguka Ruvu

January 30, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Mchana wa January 29 2017 imetokea ajali ya Treni kwenye eneo la Ruvu ndani ya mkoa wa Pwani Tanzania ambapo Treni yenyewe inaitwa EXPRESS na ilikua ikitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam.

Viongozi mbalimbali wameelekea kwenye eneo la tukio ambapo AyoTV na millardayo.com zimempata Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Reli Tanzania (TRL) Masanja Kadogosa usiku huu kwenye eneo la tukio na kueleza yafuatayo.

  • Kwenye ajali iliyotokea kuna Mabehewa ambayo yametoka nje ya reli na kuanguka lakini bahati nzuri kichwa cha Treni hakikuanguka na ndio maana unaweza kuona abiria hawapo.
  • Abiria walihamishiwa kwenye Mabehewa ambayo hayakuanguka na wakaondoka na Treni hiyohiyo kuelekea Dar es salaam na nadhani wamefika kwenye mida ya saa mbili usiku, hapa kwenye eneo la tukio kuna Mabehewa ambayo yalitoka nje ya reli tu.
  • Hapa ni Kilometa 73 kutoka Dar es salaam na ni maeneo ya Ngeta Ruvu na ajali hii ilitokea kwenye saa kumi kasoro jioni, kuhusu chanzo cha ajali…. kawaida tunafanya uchunguzi na tutawapa taarifa utakapokamilika na tuna Wataalamu ndani ya kampuni ya TRL watafanya kazi yao kwenye uchunguzi.
  • Njia ya Treni imeharibika sana hapa na kuna Treni nyingine ya abiria itasafiri kutoka Dar es salaam kwenda bara kwahiyo usiku huu tutachokifanya ndani ya saa 24 tunataka tuwe tumesharudisha hii njia ili abiria na Treni nyingine za mizigo ziweze kupita na tunategemea mpaka saa tisa alasiri siku ya Jumatatu January 30 2017 Treni zipite kama kawaida.
  • Katika ajali hii tumepata Majeruhi watano na aliyeumia sana ni mmoja na alipelekwa Tumbi Hospitali iliyopo Kibaha Pwani, Mtazame Mkurugenzi akiongea kwenye hii video hapa chini

UMEPITWA? AyoTV imempata aliyewaokoa Wachimbaji 15 waliofukiwa Mgodini Geita toka juzi, kaeleza mbinu walizotumia kuwapata

You Might Also Like

MAREKANI:Makamu wa rais Kamala Harris kukutana na viongozi wa Ghana, Tanzania na Zambia.

China yapinga uuzwaji wa sehemu ya programu yake “TikTok” kwa kulazimishwa na kutishiwa kufungiwa.

20 wafariki kutokana na virusi vya Marburg nchini E.Guinea.

INDIA: Sheria mpya, kutobadili imani ya kidini yazua gumzo.

Ndoa za jinsia moja zamuibua Makamu wa Rais, atoa tamko ‘hata wanyama hawafanyi’

TAGGED: TZA HABARI
Millard Ayo January 30, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Goli la Kahraba lililovunja rekodi ya Morocco vs Misri iliyodumu kwa miaka 21
Next Article Magazeti ya Tanzania January 30, 2017 kuanzia, Udaku, Hardnews na michezo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 26, 2023
Magazeti March 26, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo
Top Stories March 25, 2023
Gigy Money katuletea hii video mpya ‘ogopa’ itazame hapa
Entertainment March 25, 2023
Picha: Polisi Jamii Cup yazinduliwa Mkoani Manyara
Top Stories March 25, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mkuu wa Wilaya ya Hanang Mayanja atoa maagizo haya kwa Wakulima Wilayani humo

March 25, 2023
Top Stories

Mkurugenzi wa Asas afunguka, ‘Tunawafugaji Elfu 6500, Rungwe na Isanu Busokelo uzalishaji ni mkubwa’

March 25, 2023
Top Stories

Mfanyabiashara maarufu Marcas ajitosa kuutaka U NEC Arusha, kufuatia kufutwa kwa Uchaguzi mwaka jana

March 25, 2023
Top Stories

Wananchi Wilayani Korogwe wamuomba hili DC Jokate kutafuta ufumbuzi, ‘Changamoto ya Tembo’

March 25, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?