Duniani

PICHAZ 9: Treni mbili za kifahari kutengenezwa na kuanza kutumika May 2017 Japan

on

June 17 2016 nimekutana na hii stori kuhusu kuanza kutengenezwa kwa Treni za kifahari na siku zitakazoanza kutumika chombo cha habari cha ‘CNN’  wametoa taarifa na headlines zikionyesha kuanza kutengenezwa kwa Treni za kifahari nchini Japan na kuanza kutumika May 2017 na hizi ndio zitakuwa  Treni za  kifahari zaidi duniani.

Treni hii ya Twilight Express Mizukaze ya JR Magharibi na treni ya Suite Shiki-Shima ya JR Mashariki zitakazo anza kufanya kazi rasmi May 2017, Treni hizi yenye uwezo wa kubeba abiria 30 na kua na wasimamizi 1o.

Treni hizo zitakuwa na madirisha ya vioo zitakavyoweza kuwaonyesha abiria nje  na kupata nafasi ya kuona maeneo yote kama Osaka na Shimonoseki,Miyajima, bahari ya Japan, Mlima Daisen na Seto na visiwa vya bahari ya Inland ambavyo vitaweza kuwapa fursa ya  kuweza kupiga picha.

Mizukaze

Muonekano wa nje wa treni ya Mizukaze

Shiki-Shima-train-cropped

Muonekano wa nje wa treni ya Shiki shima

Mizukaze double room

Sehemu ya kulala ya treni ya Mizukaze

Mizukaze-dining-1

Sehemu ya kulia chakula ya treni ya Mizukaze

Shiki-Shima-Dining-Car

Sehemu ya kulia chakula ya treni ya Shiki Shima

Mizukaze-sightseeing-carriage-low

Sehemu ya abiria yenye mazingira ya kutazama nje ukiwa ndani ya treni ya Mizukaze

Mizukaze-overview-1

Muonekano wa ndani ya chumba cha kulalia cha treni ya Mizukaze.

Shiki-Shima-Suite

Muonekano wa ndani wa chumba cha kulalia cha treni ya Shiki Shima.

Shiki-Shima-Observation-Car

Sehemu ya abiria yenye mazingira ya kutazama nje ukiwa ndani ya treni ya Shiki Shima.

ULIKOSA VIDEO YA NEWZEALAND KUWA NA UHABA WA MAPARACHICHI? ICHEKI VIDEO HII HAPA CHINI…..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments