Duniani

Picha 23: Treni 11 za kifahari zaidi duniani, moja ilishawahi kuja Tanzania

on

Kuna baadhi ya watu wangu wa nguvu ambao wanapenda kusafiri kwa aina fulani ya vyombo vya usafiri kwa ajili ya mapumziko na kutalii sehemu mbalimbali, April 7 2016 kupitia tovuti ya chombo cha habari cha Marekani ‘CNN’ wametoa list ya treni 11 za kifahari zaidi duniani, moja ya treni hizo ilifika Tanzania kwa ajili ya shughuli za utalii.

Treni ya Rovos rail ambayo utembea polepole na kuelekea maeneo mbalimbali ya vivutio vya nchi za Afrika kama vile Afrika kusini, Zimbabwe, Namibia na Tanzania. Rovos rail ni treni ya kifahari zaidi ambayo hufanya safari ndefu kwa siku kadhaa usiku na mchana kwa sababu treni hiyo kamwe haisafiri zaidi ya kilometa 60 kwa saa, kwenye treni hiyo abiria wanaweza kufungua madirisha nakupata hewa safi au kupiga picha.

UNAWEZA KUANGALIA MOJA YA SAFARI ZA TRENI YA ROVOS RAIL KUTOKA CAPE TOWN HADI DAR ES SALAAM.

rovos-rail-steam-safari-horizontal-large-gallery

Treni ya Rovos Rail

rovos Rail

rovos-rail-safari-horizontal-large-gallery

Treni ya Rovos rail sehemu ya ndani

Nimekuwekea picha ya treni nyingine 10 ambazo zinafanya safari za kifahari zaidi maeneo mbalimbali duniani.

  1. Seven star, ni treni ya kifahari zaidi Japan ambayo ina mabehewa saba ambayo yanachukua watu 30 kwenye siti 14.

seven-stars-exterior-horizontal-large-gallery

seven stars

2. Rocky Mountalneer, treni ya Canada ambayo hufanya safari mbalimbali Vancouver

rocky-mountaineer-exlarge-169

luxury-trains-rocky-mountaineer-2-exlarge-169

Treni ya Rocky Mountalneer sehemu ya ndani

3. Maharajas’ Express- India

maharajas-express-luxury-train-exlarge-169

151207154830-maharajas-express-luxury-train-exlarge-169 presidential

Treni ya Maharajas’ Express sehemu ya ndani 

4. Golden Egle inafanya safari kutoka Moscow kwenda Vladivostock 

GOLDEN EAGLE..

golden-eagle-trans-siberian-dining room

Sehemu ya chakula kwenye treni ya Golden Egle

5. Belmond Royal Scotsman inafanya safari mbalimbali UK ambapo inachukua watu 39 ikiwa ni kiwango cha juu kabisa

belmond-royal-scotsman-exlarge-169

royal-scotsman-exlarge-169

6. Blue Train, hii hufanya safari za Pretoria-Cape town  South Africa

blue-train-exlarge-169

blue-train-suite-exlarge-169

 sehemu ya ndani

7. Venice Simplon-Orlent-Express, hufanya safari kwenye maeneo mbalimbali ya ulaya

venice-simplon-orient-express-exlarge-169

venice-simplon-orient-express-exlarge-1692

8. The Ghan, hufanya safari zake kutoka Darwin kwenda Adelaide ambayo hupitia katikati ya Australia

the-ghan-alice-springs-to-darwin-exlarge-169

the-ghan-exlarge-169

Mgahawa unaopatikana ndani ya treni ya Ghan

9. Treni ya Canadian, hufanya safari zake za Toronto na Vancouver

the canadlan

the canadian

Sehemu ya kulala inayopatikana ndani ya treni ya Canadian

10. Treni ya Transcantabrico Grain Lujo, hii ni moja ya treni za kifahari zaidi kaskazini mwa Hispania

transcantabrico-gran-lujo-exlarge-169

transcantabrico-gran-lujo-exlarge-33169

ULIIKOSA MAMBO MATANO YA KUFAHAMU KUHUSU DARAJA LA KIGAMBONI KABLA HALIJAANZA KUTUMIKA? ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments