Michezo

Hongera kwa ushindi.. Lakini camera za MAPAPARAZZI hazikuiachia hii suruali ya Pep Guardiola !!

on

CDJt2wyW4AA8Ser

Uwanjani palinoga unaambiwa.. Hapa Bayern Munich vigogo wa Kijerumani, hapa FC Porto wababe wengine wa Ureno.. dakika 90 zikakamilika kwa kuiweka Bayern kwenye headlines zenye wino mzito wenye maandishi ya ushindi wa goli 6-1 !!

Nilichogundua ni kwamba kumbe camera za wanaspoti hazikuangalia matokeo hayo ya nguvu, walikua karibu pia na suruali ya Kocha Pep Guardiola, nna hizi pichaz ambao ni story kubwa bado mitandaoni mpaka leo yani !!

_82475481_pep3

720p-Guardiola Bayern Munich Rips Trousers

349141-pep-guardiola-trouser

CDJt2wyW4AA8Ser

pep-guardiolar

Ut_HKthATH4eww8X4xMDoxOjBzMTt2bJ

 

Soma na hizi

Tupia Comments