AyoTV

VIDEO: Simba vs Stand United May 12 2017 tazama magoli hapa

on

May 12 2017 Simba SC iliikaribisha Stand United ya Shinyanga kucheza mchezo wao wa marudiano wa Ligi Kuu Soka Tanzania bara msimu wa 2016/2017, mchezo huo Simba walifanikiwa kupata ushindi wa magoli 2-1, magoli ya Simba yalifungwa na Juma Luzio wakati la goli la Stand lilifungwa na Selembe.

VIDEO: Alichoamua Rais wa Simba baada ya kupokwa point 3 na TFF vs Kagera

Soma na hizi

Tupia Comments