Mix

Tweets 7 kutoka kwenye msafara wa Trump kabla ya kuingia IKULU

on

Donald Trump ameapishwa saa kadhaa zilizopita kuwa Rais wa 45 wa Marekani huku akivunja rekodi ya kuwa ndio Rais mwenye umri mkubwa (miaka 70) kuingia kwenye kiti cha Urais Marekani.

Baada ya kuapishwa msafara wa heshima ulianza safari kuelekea IKULU huku yeye na mke wake wakipanda gari maalum la Rais ambalo limetengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu ikiwemo kuzuia risasi na mabomu.

Hizi hapa chini ni baadhi ya Tweets kutoka kwenye page ya millardayo iliyokua ina tweet live na kuonyesha matukio mbalimbali ikiwemo baadhi ya watu waliokua pembeni ya msafara wake wakimzomea na kubeba mabango ya kumpinga.


.


.


.


.


.


.


ULIPITWA? Show ya Diamond Platnumz iliyovunja rekodi Marekani? bonyeza play kwenye hii video hapa chini utakutana nayo

Soma na hizi

Tupia Comments