Top Stories

Alichokiandika Rais Magufuli baada ya Ushindi wa Donald Trump

on

Leo November 9, 2016 Marekani imeweka historia nyingine baada Donald Trump wa chama cha Republican kutangazwa mshindi wa kiti cha Urais, na tayari ameanza kupokea pongezi kutoka kwa viongozi wa nchi mbalimbali ikiwemo Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli.

Rais Magufuli ametoa pongezi zake kwa Rais Donald Trump kupitia ukurasa wake Twitter

VIDEO: Rais Magufuli alipozungumzia tathmini ya uongozi wake kwa kipindi cha mwaka mmoja. Tazama hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments