Nyumba/ Mijumba

PICHA 6: Donald Trump anaweza kuuza moja ya hii mijengo yake ili kusaidia kampeni zake

on

Mgombea Urais nchini Marekani Donald Trump amesema anaweza ‘kuuza jengo’ ili kusaidia mfuko wa kampeni yake ambayo inaweza kugharimu dola billioni 1. 

Mwanzoni hakuwa na wazo la kufadhili msimu ujao wa kampeni kwa kuuza mjengo au mali isiyoamishika lakini mabadiliko hayo yamekuja baada ya ripoti ya baadhi wafadhili wakubwa GOP huenda wakajitoa kwenye mbio hizo.

Trump aliiambia Fox kwamba…….>>> ‘Ninaweza kufadhili mabilioni ya dola kwa kuuza jengo, nina uchaguzi wa kufanya hivyo’

.

.

.

.

.

.

.

Hoteli ya Kimataifa ya Trump  Chicago

.

.

.

.

ULIIKOSA YA VANESSA MDEE ALIVYOIACHIA NIROGETOUR KWA WATRU WAKE DODODMA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments