AyoTV

VIDEO: Cheka kidogo na hii ya leo kutoka Bungeni…

on

Leo Mei 6 2016 katika kipindi cha maswali na majibu kwa Mawaziri, Mbunge Suleimani Nchambi wa jimbo la kishapu aliamua kutumia kionjo cha Jina la Jimbo lake Shapu kumshawishi Naibu  Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Hamisi Kigwangalla.

Yote nimekuwekea hapa chini kwenye hii video…

ULIIKOSA HII WABUNGE WANAWAKE UKAWA WALIVYOTOKA NJE YA BUNGE WAKIKATAA KUITWA ‘BABY’?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments