Habari za Mastaa

Video 7 za bongo zilizopata airtime Trace TV , Sound City & MTV Base

on

Ni fahari kubwa kuona ngoma za nyumbani zinapata airtime katika vituo vikubwa vya TV za kimataifa kama Trace TV na Sound City leo August 31 2016 wasanii walioingia kwenye list hii ni Diamond Platnumz,Vanessa Mdee, Ben Pol,Joh Makini, Mayunga na chegge.

Mtu wangu nakusogezea ngoma 7 za bongo fleva zimepewa airtime kwenye vituo hivi vikubwa vya kimataifa pia usisahau kuniachia comment yako hapa chini mtu wangu.

20160831_203710

20160831_222846

20160831_221845

20160831_204115

20160831_221556

20160831_203736
20160831_230904

20160831_224057

20160831_224812

ULIKOSA KUITAZAMA VIDEO YA MSANII KUTOKA NIGERIA YCEE AMEMTAJA MSANII WA BONGO ANAYEMKUBALI? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUWEKA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments