AyoTV

VIDEO: Magoli ya Obrey Chirwa yaliyoipandisha Yanga kileleni Jan 29 2017

on

January 29 Yanga walicheza vs Mwadui FC katika mchezo ambao walihitaji point tatu ili waweze kuwapita wapinzani wao Simba ambao walikuwa wanaongoza Ligi, Yanga walikutana na wakati mgumu dhidi ya Mwadui FC lakini mzambia Obrey Chirwa alifanikiwa kuifungia Yanga magoli 2-0 akitokea benchi kipindi cha pili.

VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

Soma na hizi

Tupia Comments