Habari za Mastaa

VIDEO: Couples mbili zilizoshinda kwenda Ngorongoro leo

on

April 13 2017 washindi wa shindano la Talii na TTB lililokuwa limeandaliwa na bodi ya utalii Tanzania kwa kushirikiana na Clouds Media, wamesafiri leo kuelekea katika hifadhi ya Ngorongoro kutalii kama ambavyo washindi walikuwa wameahidiwa awali.

Couple mbili ndio zimefanikiwa kushinda na kwenda kutalii katika hifadhi ya Ngorongoro na Oldvai Gorge, washindi wa shindano hilo walipatikana kwa kutuma picha zao katika instagram ya @wonderfultanzania na picha zilizopta likes nyingi ndio wakachaguliwa kuwa washindi.

VIDEO: Majibu utakayoyapata ukimwambia Rose Ndauka kuwa Bongo movie imekufa

Soma na hizi

Tupia Comments