AyoTV

VIDEO: Kutana na Trafiki mwenye mbwembwe Dar, foleni haigandi akiwepo

on

Kama makazi yako ni Dar es salaam inawezekana umeshakutana nae askari huyu wa usalama barabarani, jina lake ni Ashraf Abas Shaban na maeneo yake ya kazi ni Bagamoyo Road, Sayansi na kama umegundua akiwa kazini foleni haigandi, ameipa heshima AyoTV na kuongea kidogo kuhusu yeye na kazi yake.

Anasema >>> ‘Ninavyoongoza magari kuna baadhi ya watu hawaendi na kasi yangu napenda watu waende na ile kasi yangu, Madereva wengine ni wazembe wanachat kwenye simu’ 

Bonyeza play kwenye hii video hapa chini kukutana nae

ULIKOSA YALIYOMKUTA KITWANGA KABLA YA KUNG’OLEWA, POLISI KUPIGA MARUFUKU WANAWAKE KUITWA CHURA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments