Kwa taarifa kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.
Watu wanne wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya kutokea kwa ajali barabara Kuu ya Babati-Singida ikihusisha gari ndogo ya Tanesco (Toyota Land Cruiser) kugongwa na Lori la mizigo lililopoteza mwelekeo katika mteremko wa Logia-Singu Wilaya ya Babati Mkoa wa Manyara.
Kwa taarifa kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.