Mix

PICHA 9: Wema Sepetu na Tundu Lissu walivyoingia Mahakamani kwa gari moja

on

Leo February 9 2017 Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu pamoja na Mwigizaji Wema Sepetu wamefikishwa Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kujibu tuhuma zinazowakabili.

Tundu Lissu anatuhumiwa kwa kutoa kauli za kichochezi mara kwa mara na Wema Sepetu ni kuhusu ishu za dawa za kulevya

Wema Sepetu

Tundu Lissu

Tundu Lissu

Tundu Lissu

Wema Sepetu

VIDEO; Walivyofikishwa Mahakamani TID, Rachel, Petitman na wengine, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Soma na hizi

Tupia Comments