Top Stories

“Tukio baya” Mtoto mdogo ameuawawa kisa ugomvi wa Baba na Mama “akatwakatwa na panga” (+video)

on

Leonald Kishenya wa Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera anashikiliwa na Polisi kwa mauaji ya Mtoto wake wa kambo baada ya ugomvi na Mke wake siku ya Mkesha wa Mwaka Mpya.

RAIS MAGUFULI ATOA DILI KWA WATANZANIA WOTE “FANYENI KUNA HELA MSIOGOPE”

Soma na hizi

Tupia Comments