Top Stories

Tukio la ajabu Arusha,jamaa alala juu ya mti siku mbili amwagiwa dawa (+video)

on

Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Elias Laizer mkazi wa kata ya Sokoni one mkoani Arusha amezua gumzo baada ya kuonekana juu ya mti wa nyumbani kwake akiwa ameganda bila kushuka kwa siku mbili ambapo alikuja kushuka siku ya pili baada ya kunyunyiziwa maji na kaka yake.

Baba wa kijana huyo amesema tukio hilo ni la jadi na kwamba jambo hilo sio la ushirikina na aliposhuka alimwagiwa kitu fulani ili aweze kushuka lakini mti huo hautakatwa kwa sababu ukikatwa utaleta shida.

 

Soma na hizi

Tupia Comments