Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: “Tulikuwa tunaishi nae kwa Amani”- Steve akimzungumzia Hamza aliefariki kwenye majibizano ya Risasi
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
September 29, 2023
Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea
September 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > “Tulikuwa tunaishi nae kwa Amani”- Steve akimzungumzia Hamza aliefariki kwenye majibizano ya Risasi
Top Stories

“Tulikuwa tunaishi nae kwa Amani”- Steve akimzungumzia Hamza aliefariki kwenye majibizano ya Risasi

August 27, 2021
Share
1 Min Read
SHARE

Kwa sababu Hamza amefariki, bado maswali ni mengi na wengi wanatamani kufahamu ni nini kilimfanya achukue maamuzi ya kuwaua kwa risasi Askari Polisi watatu na Mlinzi mmoja wa Kampuni binafsi Agosti 25, 2021 Dar es salaam.

Amplifaya ya CloudsFM na Ayo TV zimepata nafasi ya kuwahoji baadhi ya Marafiki na Watu waliowahi kufanya kazi na Hamza kwenye migodi huko Chunja ili kupata picha alikua Mtu wa aina gani, Steven ndio tunae akisimulia kwa ufupi alivyomfahamu Hamza na mpaka wakati flani kwenye msimu wa Valentine’s walimpa tuzo ya upendo.

“Tulikua tunaishi nae kwa amani sana kama Kaka tu hata hilo tukio limetushangaza, Baba yao alikua na mgodi huku alikua anasimamiasimamia, ni Mtu ambae kila jioni ilikua lazima tu aje labda uwanjani au kwenye draft alikua peace sana, kuna Jamaa aliandaa kishughuli Valentine’s day tumekutana”

Unaweza ukabonyeza play kusikiliza kile kilichozungumzwa na mtu wa karibu wa Hamza aitwae Steve.

“ANGEKUWA HAI TUNGEFAIDIKA NAE KWA MAMBO MENGI, POLISI WAMETUMIA BUSARA NA KAZI KUBWA”———RC DSM

KAULI YA CHADEMA BAADA YA ASKARI POLISI KUFYATULIWA RISASI, WATOA NENO KWA IGP SIRRO

You Might Also Like

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

Flamengo ya Brazil yamtimua kocha Jorge Sampaoli huku wakimtazamia Tite

Wananchi wadai fidia ya Milioni 500 kwa Naibu Waziri wa Nishati

TAGGED: Hamza, Majibizano, Risasi
Edwin TZA August 27, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Harmonize katuletea “Kilofeshe” Remix akiwa na Zinoleesky (Audio+)
Next Article Gumzo!!Amber Rutty kawa mgeni mwalikwa shuleni, uongozi watoa tamko “Tumechukizwa”
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Dr Damas Ndumbaro na Rais TFF watinga AVIC Town kuzungumza na wachezaji wa Yanga SC
Sports September 29, 2023
Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu
Top Stories September 29, 2023
Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA
Top Stories September 29, 2023
Mohbad: Polisi wa Lagos wamkamata Sam Larry ahusishwa na kifo cha Mohbad
Entertainment September 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Askari polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

September 29, 2023
Top Stories

Ufanisi wa wataalamu waipaisha TBA

September 29, 2023
Sports

Reece James kurejea kikosoini hivi karibuni- Chelsea

September 29, 2023
Top Stories

Rais wa Urusi Vladimir Putin akutana na kamanda mkuu wa zamani wa Wagner Group

September 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?