AyoTV

VIDEO: Rais Magufuli katengua uteuzi wa mkurugenzi leo

on

Taarifa kutokea Ikulu Dar es salaam leo October 29 2016 ni pamoja na hii ya Rais Dk. John Pombe Magufuli kutengua uteuzi wa mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Nchini (DCI) Diwani Athuman.

Akisoma taarifa hiyo katibu mkuu kiongozi Balozi John Kijazi amesema…>>>’Rais Magufuli ametengua uteuzi huo kuanzia leo na kwamba Diwani Athuman atapangiwa kazi nyingine

Kufuatia uamuzi huo, uteuzi wa mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai utatangazwa baadaye‘ –Balozi John Kijazi

ULIKOSA HII CCM YATAKA ZITTO NA WENYEVITI WA KAMATI ZA BUNGE WACHUNGUZWE ACCOUNT ZAO

Soma na hizi

Tupia Comments