Top Stories

“Tumewapima Corona hukohuko India kabla hawajaja Tanzania”

on

“Tumewapokea na tumewapima, Hakuna mwenye maambukizi ya virusi vya Corona, Wizara ilituma wataalamu nchini India walienda kuwapima kabla hawajarejea nchini” Remedius Kakuru Meneja Huduma za Afya Mipakani.

“Tumewapa ushauri wa kitaalamu kuhakikasha wanapoondoka hapa wanaenda kuzingatia tuliyowaelekeza“- Remedius Kakuru Meneja Huduma za Afya Mipakani.

MTANZANIA ALIETOKA INDIA “CORONA IMETAPAKAA SANA, INAZIDI, HATUTOKI NDANI”

Soma na hizi

Tupia Comments