Premier Bet SwahiliFlix Ad Halotel Ad

Top Stories

“Tuna wakaguzi wanaosimamia usalama wa ndege,Tanzania imepewa heshima”Mkurugenzi TCAA

on

Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya usimamizi wa anga (TCAA) Hamza Johari ametimiza lengo lakupandisha bendera ya shirika la anga Duniani katika mlima Kilimanjaro baada ya Tanzania kupewa heshima na shirika hilo katika kuadhimisha miaka 75.

Akizungumza baada yakuhitimisha zoezi hilo amesema shirika la anga lina majukumu yakuhakikisha usalama wa ndege  ikiwa ni pamoja nakuzikagua kila siku.

Soma na hizi

Tupia Comments