Top Stories

‘Tunashughulikia suala la upatikanaji wa Sukari’- RC Paul Makonda

on

Tukiwa katika mjadala wa kupanda kwa bei ya Sukari nchini, Sasa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema Serikali ipo katika kushughulikia suala hilo na tutegemee siku mbili zijazo jambo hilo litakuwa sawa.

Nafahamu tuna changamoto ya upatikanaji wa sukari kwenye mkoa wetu (DSM), Serikali inashughulikia suala hili kwa umakini mkubwa na ndani ya siku mbili zijazo tutatoa suluhisho la kadhia hii, endeleeni kuchukua tahadhari na kujikinga na corona”-Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda

SAKATA LA SUKARI : “HATUJAPANDISHA BEI, TUNAIACHIA WIZARA, YA KUTOKA NJE INAINGIA”

Soma na hizi

Tupia Comments