Rais Samia Suluhu mnamo 16, feb, 2022 alikutana na kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu mazungumzo hayo yamefanyika baada ya Rais kukubali maombi ya Lissu kukutana nae na kuzungumza Jijini Brussels nchini Ubelgiji.
Sasa hapa nimekusogezea hii video ufahamu alichozungumza Tundu Lissu kuhusu alichomwambia Rais Samia mwenendo wa kesi ya Mbowe Mahakamani.