Tume ya Uchaguzi (NEC) imemteua Tundu Lissu kuwa Mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), pia imemuidhinisha Salum Mwalimu kuwa mgombea katika nafasi ya Makamu wa Rais.
Tundu Lissu athibitishwa kuwa mgombea Urais 2020

Leave a comment
Leave a comment